EDSON MWASABWITE: NI KWA NEEMA TU

Monday, May 26, 2014

NAWASHUKURU WOTE MLIONIOMBEA KIPINDI NIMEPATA AJALI NA ALBAM YANGU YA PILI IKO SOKONI

Wapendwa bwana yesu asifiwe ninakila sababu kumshukulu Mungu kwa kuniokoa na ajali mbaya nilipona kabisa na niko salama yesu ananipigania niwashukuru woooote! Mnao tuombea nasema Mungu awabariki sana nionbe msamaha kwa kutoingia fb kwa mda mrefu pia albam yangu ya pili iko sokoni inaitwa nimungu tu amenihurumia asilimia 100 ni audio asanteni Mungu awabariki


Edson Mwasabwite

No comments:

Post a Comment