EDSON MWASABWITE: NI KWA NEEMA TU

Saturday, June 21, 2014

TAMASHA LA ATOSHA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA MAREHEMU DEBORA SAID

Siku ya Jumapili 22/06/2014 ilikuwa ni siku ya kufanyika uzinduzi wa albamu ya Atosha Kissava katika kanisa la marehemu mama mchungaji Debora Said hapo Mabibo Extenal Ubungo jijini Dar es Salaam. Tamasha hili halitafanyika mpaka mtakapotangaziwa tena.
Tunawaomba radhi kwa yote yaliyotokea na tunasikitika sana na kifo cha mtumishi wa Mungu Debora Said

ASANTENI

Atosha Kissava

No comments:

Post a Comment