EDSON MWASABWITE: NI KWA NEEMA TU

Monday, May 5, 2014

EDSON MWASABWITE AKONGA MIOYO YA WATU KATIKA TAMASHA LA PASAKA MWANZA


Edson Mwasabwite mzee wa Nimetoka Mbali akienda sawa na mashabiki













Upendo Nkonne


Kutoka Zambia Mwanamuziki Ephraim Sekeleti akienda sawa na watu

Rose Mhando nae akamalizia katika tamasha hilo kwa show ya nguvu iliyowashusha mashabiki toka kwenye majukwaa na kushuka kwenye steji ili kuimba nae



Mkurugenzi wa Msama Promotion,Mr.Alex Msama akitoa hotuba fupi katika ufunguz wa tamasha hilo la Pasaka jijini Mwanza



kundi la the Voice Accapela nalo halikua nyuma katika kulishambulia jukwaa




 
 

Mh William Ngereja akiwa amenyanyua albam mbili za muimbaji Grace Mwikwabe baada ya kuzizindua,kulia ni Alex Msama mkurugenzi wa Msama Promotion.






No comments:

Post a Comment